Mkutano wa mawaziri wa fedha wa Afrika
4 Aprili 2007Matangazo
Mwandishi wetu Anaclet Rwegayura amezungumza na waziri wa mipango,uchumi na wezeshaji wa Tanzania Dkt. Juma Ngasongwa ambaye amehudhuria mkutano huo na kwanza amemuuliza ni kwanini bara la Afrika linaonekana kuchelewa katika safari hii ya kufikia malengo ya Millenium?