Mkutano wa COMESA mjini Nairobi,Kenya15.05.200815 Mei 2008Mawaziri wa biashara kutoka nchi 19 wanachama wa soko la pamoja la mashariki na kusini mwa Afrika COMESA wanakutana Nairobi Kenya.https://p.dw.com/p/E0RxMji wa Nairobi kunakofanyika mkutano wa COMESAPicha: DW /Maya DreyerMatangazoMkutano huo ulikuwa ukitazamiwa kufanyika Zimbabwe mwaka huu lakini kutokana na hali ya kisiasa nchini humo umehamishiwa Nairobi. Mwai Gikonyo anaarifu zaidi.