1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkanganyiko wa kauli kati ya Benki ya Dunia na Tanzania, kulikoni?

19 Novemba 2018

Nchini Tanzania kumezuka mjadala mkali kufuatia tofauti ya kauli ya Ikulu na ile ya Benki ya Dunia kuhusu mazungumzo kuhusu mkopo wa dola milioni 300 kutoka Benki hiyo. Mwandishi wa habari na mchambuzi wa masuala ya siasa, Jabir Idrissa anazungumzia mjadala huo.

https://p.dw.com/p/38Ugz