1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mjue Rehema Shomary: Msichana jasiri aliyehitimu akiwa na changamoto ya usikivu

Daniel Gakuba
11 Februari 2022

Mafanikio ya mtu hutokana na juhudi zake za kupambana na changamoto zinazomkabili. Rehema Shomary ni mfano mwema; akiwa na ulemavu wa kutosikia, binti huyu amesoma na kufaulu tena masomo ya sayansi. Haikuwa njia iliyoonyoka kama utakavyoona na kusikia katika vidio hii ya Msichana Jasiri.

https://p.dw.com/p/46ssE