1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mji wangu: Freetown

25 Septemba 2020

Mtengenezaji filamu Lansana Mansaray anatuonyesha mji wake Freetown kwenye makala zetu za Vijana Mubashara 77Asilimia. Mji huu mkuu wa Sierra Leone una takriban wakaazi milioni moja na unajulikana kwa utamaduni, Imani za dini na utangamano wa makabila mbalimbali.

https://p.dw.com/p/3j0IK