1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mji Wangu: Eldoret — Kitovu cha mabingwa wa riadha Kenya

19 Septemba 2023

Mji wa Eldoret nchini Kenya hujivunia mandhari asilia ya kupendeza na vyakula vya asili vya wafugaji. Baadhi ya wanariadha waliotia fora ulimwenguni hutoka mji huu. Msanii na pia muigizaji wa kidijitali Rogan Anjili anatuonyesha mji huu unaokua kwa kasi.

https://p.dw.com/p/4WZQ0