1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mji wangu: Abidjan

11 Novemba 2019

Abidjan ni mji wa sita kwa ukubwa barani Afrika. Pia ni kitovu cha uchumi nchini Ivory Coast. Msanii wa uchekeshaji Bah Jacques Silvere au ukipenda ‘Le Magnific’ anatuonyesha maeneo mbalimbali ya mji huu wake.

https://p.dw.com/p/3SqQI