JamiiMjadala kuhusu umri sahihi kwa kijana kushiriki mapenziTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiSylvia Mwehozi25.06.201925 Juni 2019Mbiu ya mnyonge hii leo inajikita kwenye hoja ya kuupunguza umri halali wa kufanya mapenzi na kwa upande wa pili adhabu kali kwa wavulana wanaomtia mimba msichana au kumnajisi, nchini Kenya. Ungana naye Thelma Mwadzaya. https://p.dw.com/p/3L2yHMatangazo