1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mimi si CUF, si CCM

Mohammed Abdulrahman Mohammed14 Januari 2016

Mmoja wa waasisi wa serikali ya mwanzo ya Zanzibar baada ya Mapinduzi, Mzee Hassan Nassor Moyo, anasema licha ya kuwa yeye si mwanachama tena wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kilichomfukuza wala si wa Chama cha Wananchi (CUF) visiwani Zanzibar, anamuunga mkono yeyote anayepigania mamlaka zaidi kwa visiwa hivyo ndani ya Muungano wa Tanzania.

https://p.dw.com/p/1HdfA