1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
MichezoItaly

Miamba wa Italia washindwa kutamba

17 Aprili 2023

Huko nchini Italia nako kunatokota michezoni timu tatu mahiri za ligi kuu ya Italia Serie A zitaendeleza kampeni yao ya kuwania ubingwa wa Ulaya wiki hii ila kwa timu zote hizo mambo hayakuwaendea vizuri nyumbani.

https://p.dw.com/p/4QCim
Champions League | SSC Neapel - Eintracht Frankfurt
Picha: Francesco Pecoraro/Getty Images

 

Mwishoni mwa wiki, AC Milan walizuiwa sare ya kutofungana na Bologna na matokeo yakawa hayo hayo Napoli walipocheza na Hellas Verona.

Intermilan wao walipoteza pointi tatu baada ya kulazwa na timu iliyopandishwa daraja msimu huu Monza.

Chanzo: Reuters/AP