Miaka 43 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
26 Aprili 2007Matangazo
Hata hivyo kumekuwepo na malalamiko kutoka pande zote mbili juu ya kasoro mbali mbali ikiwa ni pamoja na muundo wa muungano huo.
Saumu Mwasimba amezungumza na waziri wa nchi ofisi ya makamu wa rais anayeshughulikia muungano Bwana Hussein Mwinyi na kwanza alimuuliza je haya malalamiko yanayotolewa kuhusu muungano vipi yanavyoshughulikiwa na ofisi yake.