1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Miaka 25 tangu mashambulizi ya kigaidi Nairobi na Dar

7 Agosti 2023

Imetimia miaka 25 tangu kuripuliwa kwa balozi mbili za Marekani Afrika mashariki katika nchi ya Tanzania na Kenya kufuatia mashambulizi ya kigaidi. Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania umeandaa kumbukumbu ya siku hiyo kuwakumbuka waliopoteza maisha na waliojeruhiwa wakiwemo wafanyakazi.

https://p.dw.com/p/4UsCE