1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Miaka 25 tangu makubaliano ya Dayton, hali ikoje leo?

Daniel Gakuba/MMT21 Desemba 2020

Makala ya Mwangaza wa Ulaya safari hii inaangazia miaka 25 tangu kusainiwa kwa makubaliano ya Dayton mjini Paris-Ufaransa, ambayo yalihitimisha vita vya Bosnia vilivyokuwa vimedumu kwa miaka mitatu na kuangamiza maisha ya watu zaidi ya 100,000. Ingawa makubaliano hayo yameweza kuzuia umwagaji wa damu katika muda huo, bado migawanyiko ya kikabila inaendelea hadi leo. Msimulizi ni Daniel Gakuba

https://p.dw.com/p/3n0m8