SiasaMhafidhina Ivan Duque rais mpya ColombiaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaIddi Ssessanga18.06.201818 Juni 2018Mhafidhina Ivan Duque ameshinda uchaguzi wa rais nchini Colombia, siku ya Jumapili, baada ya kampeni iliogeuka kura ya maoni kuhusu makubaliano ya kihistoria ya mwaka 2016 na waasi wa kundi la FARC ambayo aliahidi kuyafanyia marekebisho.https://p.dw.com/p/2zmTCMatangazo