1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mgomo wa wahudumu wa afya Mombasa waingia mwezi wa tatu

Faiz Musa Abdallah28 Januari 2021

Sekta ya afya katika kaunti ya Mombasa, Kenya inaendelea kudorora kutokana na hospitali kwa sababu ya mgomo wa wauguzi na wahudumu wengine wa afya ambao umeingia mwezi wa tatu sasa.

https://p.dw.com/p/3oWTU