Mgogoro wa Nzouani visiwani Komoro bado haujapatiwa ufumbuzi
24 Oktoba 2007Matangazo
Kufuatia hali halisi ya kisiwa hicho kutaka kujitenga na visiwa vingine vya Komoro, Rais wa Komoro, Ahmed Abdalla Sambi, akijumuika na wanajeshi wa jeshi la Komoro yuko katika mazoezi ya kijeshi, ikiwa ni hatua mojawapo ya kutaka kukivamia kisiwa cha Nzouani wakati wowote kuanzia sasa.
Zaidi anawaletea Abdulrahman Baramia kutoka Moroni.