1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mfumo wa kisasa wa upasuaji mbao Arusha

9 Desemba 2021

Vijana wengi huko Arusha wamejiajiri kwa kufanya shughuli ya kupasua mbao na kujiingizia kipato. Huko Ngaramtoni Someli ama kwa jina maarufu Ngaramtoni ya juu ni eneo maarufu sana kwa kuwa na viwanda vidogo vidogo vinavyopasua magogo ya miti na kuwa mbao.

https://p.dw.com/p/442we