1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mfalme wa Uingereza alitembelea koloni la zamani Kenya

31 Oktoba 2023

Rais William Ruto wa Kenya alimpokea rasmi Mfalme Charles wa Tatu wa Uingereza na mkewe Malkia Camilla katika ikulu ya Nairobi siku ya Jumanne (Oktoba 31), ikiwa ni ziara ya kwanza ya mfalme huyo katika nchi mwanachama wa Jumuiya ya Madola tangu achukuwe wadhifa huo kufuatia kifo ca mama yake, Malkia Elizabeth wa Pili, mwaka jana.

https://p.dw.com/p/4YEgE