1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania, kanuni mpya za habari na uchaguzi wa Oktoba 2020

15 Agosti 2020

Kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020, Tanzania imetangaza kanuni mpya kuratibu ushirikiano kati ya vyombo vya habari vya ndani na vya nje, lakini wengi wanahoji kwamba kanuni hizo zinaelekea zaidi kudhibiti uhuru wa habari. Mohammed Khelef anaongoza mjadala unaohudhuriwa pamoja na wengine na Mkurugenzi wa Leseni wa Mamlaka ya Mawasiliano ya Tanzania.

https://p.dw.com/p/3gxPa