1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Meza ya Duara: Kurejea kwa Lissu na siasa za Tanzania 2020

3 Agosti 2020

Baada ya miaka takribani mitatu kuwa matibabuni nje ya nchi, hatimaye manusura wa jaribio la mauaji na mwanasiasa mashuhuri wa upinzani nchini Tanzania, Tundu Lissu, amerejea nchini kwake akisema anataka kuwania urais kwenye uchaguzi wa Oktoba 2020. Nini tafsiri ya kisiasa ya kurejea kwake? Ungana na Mohammed Khelef akiongoza Maoni Mbele ya Meza ya Duara.

https://p.dw.com/p/3gIfk