1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Meza ya Duara: Angola baada ya uchaguzi mkuu

Josephat Charo2 Septemba 2022

Katika kipindi cha Maoni wiki hii, Josephat Charo amewaleta mezani wachambuzi na wafuatiliaji wa siasa barani Afrika, kuchambua mustakabali wa Angola baada ya uchaguzi mkuu uliokirejesha chama tawala MPLA madarakani. Sikiliza mjadala huo.

https://p.dw.com/p/4GLtj