1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Messi kuondoka Barcelona?

26 Agosti 2020

Mchezaji nyota wa Barcelona Lionel Messi jana ameifahamisha rasmi klabu yake kuwa anataka kuondoka msimu huu wa kiangazi. Habari hiyo nzito imekuja kama bomu kwa kocha mpya Ronald Koeman na uongozi wa Barca na kuitumbukiza klabu hiyo katika matatizo zaidi. Bruce Amani anazungumza na Josephat Charo wa meza ya michezo ya DW Kiswahili.

https://p.dw.com/p/3hWnY