1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
MichezoArgentina

Messi arindima Kombe la Dunia

19 Desemba 2022

Hatimaye Messi atia mkononi kombe la dhahabu lililokuwa likimkwepa. Kilian Mfembappe afikia rekodi iliyowekwa na Geoff Hurst 1966. Na katika soka la Tanzania vigogo Simba SC wameanza kwa kishindo raundi ya pili ya ligi kuu Soka Tanzania Bara.

https://p.dw.com/p/4LBOD