1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mbiu ya Mnyonge: Madhila ya wakimbizi wa Congo huko Beni

John Kanyunyu/MMT26 Agosti 2021

Makala ya Mbiu ya Mnyonge inaangazia mauwaji yanayofanywa na waasi kutoka Uganda ADF katika wilaya za Beni na Irumu katika eneo la Kaskazini mashariki ya Congo pamoja na kuziathiri jamii nyingine, yanawaangamiza pia mbilikimo ambao wamekwishalazimika kuacha makaazi yao ya asili misituni na kukimbilia usalama katika maeneo mengine. 

https://p.dw.com/p/3zW1M