1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

May autetea bungeni mpango wake wa Brexit

15 Novemba 2018

Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May anajaribu kuwashawishi wabunge kuhusiana na mpango wake, ulioimarishwa wa Brexit. Hayo ni wakati mawaziri wawili wakijiuzulu kutoka serikali yake

https://p.dw.com/p/38IQb