1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya mchana ya Jumamosi 01.04.2023

SK2 / S02S1 Aprili 2023

Rais wa Taiwan amewasili nchini Guatemala kwa ziara inayokusudia kuimarisha uhusiano na washirika wake. Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, ameruhusiwa kutoka hospitalini leo, baada ya kulazwa kwa siku tatu // Kamishna Mkuu wa Ofisi ya Haki za Binaadamu ameonya kuwa vita vya Urusi nchini Ukraine vimesababisha ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu

https://p.dw.com/p/4PaKT