Kwanza ni mukhtasari wake msomaji ni Jacob Safari//Ujerumani yawakumbuka watu 80,000 waliofariki kutokana na Covid-19//Jamhuri ya Czech kuijadili Urusi na nchi za Umoja wa Ulaya//Na Marekani na China zadhamiria kushirikiana katika masuala ya tabia nchi.