Utawala wa Rais Donald Trump wa Marekani umetangaza kwamba umesitisha mpango wa kuwahifadhi maelfu ya Wahonduras wanaoishi Marekani na kwamba wana miezi ishirini kuondoka nchini humo//Chama cha Kihafidhina cha Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May kimepata matokeo mazuri kuliko ilivyotarajiwa katika uchaguzi wa serikali za mitaa.