Urusi, China zaikosoa NATO baada ya onyo lake/ Urusi inaendelea na mashambulizi mashariki mwa Ukraine/ Tanzania: Wadau wa habari walalamikia uwepo wa sheria kandamizi/ DRC: Mapigano yanayoendelea mashariki mwa nchi hiyo yanaweza kuongezeka/ DRC: Hatimaye mabaki ya jino la Patrice Emery Lumumba yazikwa/ Kenya: EACC, yageukia kutafuta ushawishi wa viongozi wa kidini