Kirusi cha Omicron chazusha taharuki ulimwenguni/ Mazungumzo ya kufufua mkataba wa nyuklia wa Iran kuanza tena/ Kongo: upinzani yataka bunge kuidhinisha kuingia kwa wanajeshi wa Uganda nchi humo/ Tanzania: utoshelevu wa chakula nchini inatarajiwa kushuka/ Maduro awashutumu waangalizi wa uchaguzi kutoka Ulaya