1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya mchana 26.12.2018

Yusra Buwayhid
26 Desemba 2018

Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis atoa wito wa amani na udungu katika ujumbe wake wa Krismasi. Maandamano yazuka Tunisia kufuatia kifo cha mwandishi habari baada ya kujiwasha moto akilalamikia hali ngumu ya maisha. Na, Korea Kusini na Kaskazini zazindua mradi wa kuunganisha tena njia zao za reli na barabara.

https://p.dw.com/p/3AeUV