Viongozi wa Catalonia wapinga hatua za Rais Mariano Rajoy za kulizuia jimbo la Cataloni kujitenga. Waziri wa mambo ya nje wa Marekani, Rex Tillerson, anatarajiwa kuanzisha mazungumzo mapya ya kuutatua mzozo kati ya Saudi Arabia na Qatar. Dhoruba zapiga Japan siku ya uchaguzi.