1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya mchana 15.12.2018

Yusra Buwayhid
15 Desemba 2018

Usalama waimarishwa Ufaransa, huku waandamanaji wa vuguvugu la vizibao vya njano wakijikusanya mjini Paris. Australia yautambua Jerusalem Magharibi kuwa mji mkuu wa Israel. Na, Waziri Mkuu wa Sri Lanka ajiuzulu.

https://p.dw.com/p/3AAzz