SiasaMatangazo ya Mchana 14.09.2019To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaAmina Abubakar14.09.201914 Septemba 2019Maelfu ya watu watarajiwa kuhudhuria hafla ya kumuaga rais wa Zamani wa Zimbawe Robert Mugabe mjini Harare, Waasi wa Houthi wakiri kuhusika na shambulio la vituo vya mafuta nchini Saudi Arabia na vurugu zazuka mjini Hong Kong.https://p.dw.com/p/3PbdrMatangazo