1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana: 07.05.2017 (Saa 7:00 Afrika Mashariki)

7 Mei 2017

Watu waondolewa kwa muda katika eneo anakopanga kusherehekea ushindi Emmanuel Macron kutokana na kitisho cha usalama. Rais wa Ujerumani akosoa malumbano kati ya Israe na Ujerumani. Wasichana wa Chibok waliosachiwa huru wawasili Abuja kwa ajili ya mkutano na Rais Muhammadu Buhari.

https://p.dw.com/p/2cZ1O