1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana 03.09.2023

SK2 / S02S3 Septemba 2023

Urusi yafanya mashambulizi ya droni katika maeneo ya kusini mwa Odesa mapema leo. ++Maelfu waandamana Niger kushinikiza wanajeshi wa Ufaransa kuondoka.+++ Kiongozi wa Bavaria akataa kumfukuza kazi naibu wake katika kashfa ya chuki dhidi ya Wayahudi.

https://p.dw.com/p/4VthM