Lissu kurejea Tanzania kudai katiba mpya/ Tshisekedi asikitishwa na kifungo cha Kamerhe/ Ethiopia : daraja muhimu kwenda Tigray laharibiwa/ Merkel kuhutubia baraza la mawaziri wa Uingereza/ WHO yatahadharisha juu ya ongezeko la corona wakati wa mashindano ya kandanda