1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya jioni ya DW Kiswahili: 26.09.2020

26 Septemba 2020

Waziri mkuu mteule wa Lebanon Mustapha Adib ajivua jukumu la kuunda baraza jipya la mawaziri, mjumbe wa Marekani kwa ajili ya Afghanistan, Zalmay Khalilzad asema kundi la Taliban halitakubali kusitisha mapigano kikamilifu na waziri Mkuu wa Sudan Abdalla Hamdok asema nchi yake haitaki kufungamanisha kuondolewa kwenye orodha ya wafadhili wa ugaidi, na kurejesha uhusiano wa kidiplomasia na Israel

https://p.dw.com/p/3j326