1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya jioni ya DW Kiswahili: 20.09.2020

20 Septemba 2020

Rais wa Iran Hassan Rouhani asema Marekani inakabiliwa na kushindwa katika hatua yake ya kuweka tena vikwazo vya Umoja wa Mataifa kwa nchi hiyo, maelfu ya waandamanaji wa upinzani waingia mitaani kwa mara nyengine leo katika mji mkuu wa Belarus, Minsk na Uturuki na Ugiriki huenda zikarejelea mazungumzo kuhusiana na mvutano wao katika Bahari ya Mediterenia

https://p.dw.com/p/3il4p