Watu 27 waaga dunia baada ya Lori na basi kugongana nchini Kongo//Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis atoa wito wa amani Yemen, Syria na maeneo mengine yenye mizozo duniani//Rais wa Uturuki Reccep Tayyip Erdogan asema atakutana na Rais wa Urusi hivi karibuni