Emmerson Mnangagwa aapishwa rasmi kama rais wa Zimbabwe baada ya Robert Mugabe kuondolewa madarakani//Kiongozi wa Kanisa Katoliki Papa Francis aomba msamaha kwa wahanga wa udhalilishaji wa kingono nchini Ireland//Kansela wa Ujerumani Angela Merkel kuzungumzia uhamiaji katika ziara yake ya Afrika Magharibi