Mahmoud Abbas akutana na Putin siku chache baada ya rais huyo kuwa mwenyeji wa waziri mkuu wa Israel//Rais Isaias wa Eritrea asema historia imeandikwa leo kufuatia ziara yake Addis Ababa//Vikosi vya usalama vyawekwa katika hali ya tahadhari Iraq kufuatia maandamano yanayoendelea