1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Jioni 25.12.2016

SK2 / S02S25 Desemba 2016

Hotuba ya Papa Francis yatuama katika vita na ugaidi unaoendelea duniani. Urusi yatangaza siku moja ya maombolezo ya vifo 92 vya ndege ya kijeshi iliyoanguka chapa Tu-154. Na, kimbunga Nock-Ten chapiga nchini Ufilipino.

https://p.dw.com/p/2UrZX