Rais Joe Biden amkaribisha Kansela Angela Merkel katika ikulu/ Ujerumani: Mafuriko yasababisha vifo vya kiasi cha watu 42/ Mataifa ya SADC, yataka kulegezewa masharti ya mikopo/ UN: Watoto milioni 23 walikosa chanjo za msingi/ Rais wa Cuba Miguel Diaz-Canel kwa mara ya kwanza ameelekeza lawama kwa upande wake