Mwanasiasa mkongwe nchini Kenya Raila Odinga anaongoza kwa kura kidogo dhidi ya mpinzani wake William Ruto// Urusi yashambulia maeneo ya makaazi kote nchini Ukraine ikidai kupata mafanikio // Na Marekani na Urusi zinafanya mazungumzo ya kubadilishana wafungwa.