Ghasia zazuka katika uchaguzi wa rais nchini Cameroon, huku rais wa muda mrefu Paul Biya akitarajiwa kushinda tena kwa muhula wa saba. Kiongozi wa Korea Kaskazini akubali kufanya mkutano wa pili wa kilele na Marekani. Na, watu 11 wamepoteza maisha katika tetemeko la ardhi lilopiga kisiwa cha Haiti.