Rais Trump asema mkwamo wa shughuli za serikali Marekani huenda ukadumu kwa miezi au miaka//Umoja wa mataifa wakosoa hatua ya kuunyamazisha upinzani nchini Congo kabla kutangazwa matokeo ya Kura//Na watu 46 wauwawa katika mapigano ya kikabila nchini Burkina Faso.