Baadhi ya waakazi wa ukanda wa ziwa Tanganyika katika mkoa ya Kigoma wanahangaika kufuatia kina cha maji na maji kusambaa hadi katika maakazi yao, Makala ya Mtu na Mazingira inaangazia kwa kina kadhia wanayoipitia wakaazi hao. Vile vile utasikia makala ya Utamaduni wa ndoa za visiwani Zanzibar.