Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz afanya ziara yake ya kwanza barani Afrika/ HRW limezitaka nchi wanachama wa Umoja wa Afrika (AU) kushughulikia masuala ya haki za binadamu/ Zimbabwe yataka kuruhusiwa kuuza akiba yake ya pembe za ndovu zilizokamatwa/ Kongo: Mvutano wa kisiasa unazidi kuongezeka nchini/ Karibia miezi miwili ya makubaliano ya kusitisha mapigano nchini Yemen.