1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Asubuhi 11.03.2023

TSA / S08S11 Machi 2023

Ujumbe wa Baraza la Umoja wa Mataifa upo nchini Congo kwa ziara ya siku tatu iliyoanza Alhamis. Rais William Ruto ametangaza kuwa jeshi la Kenya litashirikiana na wizara ya elimu kujenga upya shule kwenye maeneo ya bonde la ufa yaliyoorodheshwa kuwa maeneo hatari. Na Kesho kutwa Jumatatu, Papa Francis anatimiza miaka 13 tangu alipotawazwa kuwa kiongozi mkuu wa kanisa katoliki duniani mjini Roma

https://p.dw.com/p/4OXRs